Sub4Sub network gives free YouTube subscribers
Get Free YouTube Subscribers, Views and Likes

Jugo Media

Likes
0
Jugo Media
JUGO MEDIA NETWORK ni chombo cha uinjishaji kupitia mtandao kilichoanzishwa miaka
minne (4) iliyopita (19/02/2019) katika chumba kidogo cha kontena la Kwaya ya Familia
Takatifu Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Malengo makubwa
ya Jugo Media Network ni kuwalisha kiroho waamini wa Kanisa Katoliki na wakirstu wote
kwa vipindi mbalimbali vya kiroho, Misa Takatifu na homilia za maaskofu na mapadre kwa
kutumia mitandao ya kijamii ambayo kwa dunia ya sasa imeonekana kuwa na upotovu
mkubwa wa maadili hasa kwa vijana lakini pia ndio tasnia inayokuwa kwa kasi Zaidi
ulimwenguni, hivyo mwanzilishi, Ndugu Ibrahim Gores akajikita Zaidi na kundi kubwa la
vijana na watu wa rika zote walioko mitandaoni kuwawezesha kuweza kupata neno la
Mungu katika Mazingira yao walipo, muda wowote ule.
Channel Hii inaongozwa na kauli Mbiu Jugo Media Injili Kiganjani Mwako

posted by ejmaing4g