A little secret to rock your YouTube subscribers
Get Free YouTube Subscribers, Views and Likes

Chapaa - Abbas Kubaff

Follow
Abbas Kubaff (Doobeez)

Chapaa by Kenyan hiphop star Abbas Kubaff

Lyrics

Mi nalike chapaa vile we ulike chapaa (yeah)
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar (round hii niko serious)
(Tshazi twende kazi, yeyeyeyeah)

Verse 1
Doobeez ni mchizi mi ni msanii toka Cvo
Sisikiki sishikiki stishiki na vitisho
Naenda job na jeans juu nimevalia tsho
Na tangu kitambo mi huwa, hivohivo
MC’s wana jido kumbe hawan hata dough
Dough zimefanya ati watu mapembe hata flow
Traffic haijambamba mzeya, basi Mbona enda slow?
Nairobi ukisleki basi jo utakuta doorUtakutwa na mtu tisa ukitoka Carnovore
Ngoma kwenye kichwa mzeya, eti juu
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar!

Chorus
Mi nalike chapaa mi na mi nalike chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Mi nalike chapaa, mi na mi nalike chapaa
Beba bass Tsahzi, lemme get round

Verse 2
Nafika coast kucruise, ndani ya 4 by 4
Naenda kupiga show, CDs marker na soo
Mfuko nimesota maze jo niko na soo
Lakini haina noma, hope mzeya niko poa
Seti hii kwa player juu kapuka imenibo
Tshazi twende kazi wacha jo niwapeleke slow
Wacha niwashow jinsi ya kumake dough
Stage nikifika nipe mbili za vodo
Ohohoh cheki mafovo
Cheki hizo macho jo mzeya nipige show
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar

Chorus
Mi nalike chapaa mi na mi nalike chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Mi nalike chapaa, mi na mi nalike chapaa
Beba bass Tsahzi, lemme get round


Bridge
Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
Ni kama sina chapaa (We umesota!)
Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
Hawezi kuwa star (Abbas umesota!)



Watu wanasemanga mi nakaa tu msee wa mtaa
Ni kama sina chapaa (We umesota!)
Wengine wanasemanga mi nakaa tu ka jamaa
Hawezi kuwa star (Abbas umesota!)

Chorus
Mi nalike chapaa mi na mi nalike chapaa
Mi nazipeleka bank ukizipeleka bar
Mi nalike chapaa, mi na mi nalike chapaa
Beba bass Tshazi, lemme get round

posted by gwaeredkv