Free YouTube views likes and subscribers? Easily!
Get Free YouTube Subscribers, Views and Likes

Full Interview na Mtoto Itham Mwenye Akili za Ajabu Anajua Kila Kitu Kuanzia Siasa Mpaka Soka

Follow
Global TV  Online

#Mtoto #Ithan #Mahafudh, mwenye umri wa miaka miwili, ameendelea kuthibitisha #kipaji kikubwa alichonacho, akiwa na uwezo wa kuwataja karibu marais wa nchi zote duniani ambapo #Pasaka hii, alikuwa kivutio kwenye #event iliyoandaliwa na #Shilawadu ambapo alijibu maswali yote ya papo kwa hapo.
Mtoto huyo, licha ya uwezo wake wa kutaja majina ya viongozi mbalimbali, anao uwezo mkubwa wa kukariri mambo mengi kwa wakati mmoja. Mtazame zaidi hapa... http://bit.ly/2oOwCko
Maajabu mengine ya mtoto Ithan ni kuwa anafahamu kuendesha gari na pia anajua kutumia kompyuta na simu za kisasa yaani smartphones, kwani anao uwezo wa kuingia katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Visit https://globalpublishers.co.tz/
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  

posted by holycowapril02