Get real, active and permanent YouTube subscribers
Get Free YouTube Subscribers, Views and Likes

Levia Ndosi - Uabudiwe (Official Video )4k 2160p_2024

Follow
Levia Ndosi

Wimbo umetungwa na Binti Levia Ndosi, na Mziki kuandaliwa Abej Studio iliyopo Jijini Dodoma Tanzania. Wimbo huu umeimbwa na Binti Levia Ndosi na Video kuandaliwa na K V & Media's waliopo Jijini Dodoma Tanzania. Mungu wa Utukufu Mkuu awabariki wote mnaochukuwa muda wenu kuitazama kazi hii nzuri ya Mtoto na Mtumishi wa Mungu Levia Ndosi.
Kwa mawasiliano ya Huduma unaweza kuwasiliana nami kwa namba;
+255 719 93 77 75
BAKI NA BARAKA ZA MUNGU

posted by flyyak0t