MAPENZI YANAUMA | Full Movie
Ni filamu inayomuelezea kijana Adam ambaye anayatoa maisha yake kwaajili ya kupambania penzi lake kwa Selina mwanamke aliyempenda sana na kubeba mimba ya mwanaume mwingine.
Fuatilia kisa hiki kizuri na usiache ku subscribe, ni filamu yenye mafunzo mazuri sana.
#film #bongomovie #2024movies #swahilimovies #hubajeusi1