How to get free YouTube subscribers, likes and views?
Get Free YouTube Subscribers, Views and Likes

SHAMBA LA MIZABIBU

Follow
RAJO PRODUCTIONS

Kwaya ya Bikira Maria Mama Wa Rozari Takatifu (BMM Olkokola) kutoka Parokia teule ya Mt. Yohane Mtume Olkokola, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha.


Wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo wao Mpya ulio miongoni mwa nyimbo nyingine katika Album yao itakayokujia hivi karibuni.


Audio na Video vimefanyika katika studio za RAJO Productions



Ungependa kufanya nao kazi au uwe wakala wa kuisambaza kazi hii?
Wasiliana nao leo kwa namba hizi +255 788 013 959 au +255 752 631 092


#rajoproductions #miminaneema #kwayakatoliki

posted by huiroom