Enala ameeleza Safari ya kutumia mtandao kukutana na mume wake na changamoto za mahusiano kutokana na utofauti wa utamaduni.
Anakwambia alitumia mtandao ndani ya miezi 6 tu na kukutana na mume wake, ambae waliwasiliana kwa Wiki 3 tu na mume kupanda ndege kumfuata.
Thank you Ena for allowing this to be online
www.oda.international