Tuppy ametupatia darasa kabambe leo kuhusu safari yake nzima ya kutimiza ndoto yake ya kua na mzungu na kuishi Ulaya. Sio Safari rahisi, lakini ni Safari iliyojaa ujasiri mkubwa na kutia moyo. Thank you Tuppy for allowing this to be online www.Oda.international