Apostel Vera ameeleza Safari ya maisha yake kutokea Tanzania mpaka kufika Marekani.
Ujana na kutomjua Mungu mpaka kufikia kua Mtumishi.
Namna alivyomuomba Mungu mume na ndani ya muda mcheche tu Mungu alimjibu ombi lake katoka mazingira ambayo hakuyawazia kabisa.
Anakwambia kila kitu unachotaka omba rehema ya Mungu na kitafunguka.
Instagram: Apostelvera19
YouTube: Apostel Vera Muro
Ministry : The power of grace international church
Thank you Apostel Vera for allowing this to be online
www.oda.international