Mohammed ameeleza safari yake ya kutoka Tanzania mpaka Ujerumani
Ambapo mahusiano ndio yamemfikisha hapo
Amewaasa vijana kuthamini waliowaleta Ulaya na kujitahidi kusoma na kufanya kazi na zaidi ya yote kuelewa utamaduni na lifestyle ya nchi husika.
Thank you Mohammed for allowing this to be online
www.oda.international